Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Refa katubania tungepiga ya mwishoGoal 5 ulisema mnashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa katubania tungepiga ya mwishoGoal 5 ulisema mnashinda
Mnateseka sana Uto 😂Iv mmemuona refa baada ya phir kushinda penat ya mwisho kakimbia kushangilia na wachezaji wa simba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣badala walie kwa kutakacho wakuta mbele wao wanashangiliaIv mmemuona refa baada ya phir kushinda penat ya mwisho kakimbia kushangilia na wachezaji wa simba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nielezee ubaya wa JUMA MGUNDA akiwa kocha pale Simba Sc (team kubwa).Hauwezi kupata timu kubwa kabla ya kuanzia timu ndogo.
Katolea mfano tuKwahiyo hayo matuta ya singida ndio yatawapa kombe sio, kuweni serious aseee
Yanga hii inaingia kwenye derby si kama ilivyoingia kwenye ligi,na watu wa try again na yule agent wa kikongo wote tumesafisha bila kujali uwezo wao,atuingii kama tunaenda kucheza na mcc tunaingia kama derby safari hiiTunawatoboa tena mawili jumapili
Huna timu, ile ya leo ni takataka mbele ya Yanga.Ila Mwaka huu Utopolo Mmeanza Malalamiko Mapema..!
Hakuna Goli halali Lililokataliwa, Au Penati iliyotolewa ya Mchongo..!
Ligi bado Haijaanza, hii ni Ngao tu mshaanza Kulia lia....!
Karia Mwaka huu ajiandae....!
umeona mechi na rushwa za refa hata mimi ni pointless kuangalia mechSababu hakuna matokeo uliyotegemea.
Kwasababu una utopolo mwingi,hii simba ndo iliyoikanda yanga mabao mawili ikiwa kwenye pickWalau ungesema machache juu ya arguments zangu kuliko kukimbilia mipasho
Yaani wameruka mkojo wamekanyaga maviHii aibu ya jumapili phiri angejua angepaisha tu hii penati mana wataaibika sana mbele ya mtani.
Mmmmmh sio level yangu. Naomba nikuache. Huna hojaKwasababu una utopolo mwingi,hii simba ndo iliyoikanda yanga mabao mawili ikiwa kwenye pick
Tulia mkuu lugha n Kali eee jumapili itakuwa Kali zaidi kila ukifungua uzi huu utatamani uzime dataHiyo lugha imekusaidia Nini??
Hapo hapo baadae utajifanya unapinga ushoga!!
hili halipingiki mkuuHakuna ubunifu kwenye eneo la mwisho.Wachezaji wanakabika kirahisi, pia physical fitness si ya kuridhisha. Timu ita-struggle sana kupata matokeo pindi itakapocheza na wakamiaji. Average team
Labda pira....Eti Pira Ottoman. 😂😂
Mmmmmmmh....Yanga aliwataka makolo kwenye fa bahati mbaya wakatolewa na azam,yan hiyo jumapili makolo wajiandae hasa,Yanga hii match walikua wanaitaka
Sio sawa Lakini!!Tulia mkuu lugha n Kali eee jumapili itakuwa Kali zaidi kila ukifungua uzi huu utatamani uzime data