Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,680
Kipindi cha kwanza kimemalizika Simba wakiwa nyuma kwa goli moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu JamiiForums wakiandaa tena Shindano la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) ukishindwa tena na yule sijui nani ( nimemsahau Jina ) akichukua tena nakushauri uachane na hili Jukwaa kwani Juhudi zako za Kuanzisha Mada mbalimbali za Michezo ( kila mara na kila Siku ) Jukwaa hili zitakuwa hazina maana na faida.Kwa Mkapa hatoki mtu!!
Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha?
Ndio, ni Simba Sports Club wakiwaalika Raja Casablanca pale dimba la Benjamin Mkapa, katika mchezo wa pili wa ligi ya mabingwa Africa.
Simba watashuka dimbani wakiwa na lengo moja tu la kutafuta alama 3 mara baada ya kupoteza mchezo wa kwanza. Habari njema ni kuwa Saido Ntibazonkiza atakuwepo kikosini ila pengo kubwa ni kukosekana kwa Sadio Kanoute "Putin" kutokana na kadi.
Raja Casablanca nao wataingia kwa tahadhari katika mchezo huu, japo wanaongoza kundi lao mara baada ya kuivurumisha Vipers goli 5 kwa nunge katika mchezo wao wa kwanza!
Mchezo huu utakuwa majira ya saa 1:00 usiku wa leo, na utakuwa mubashara kupitia ZBC2 ya AzamTv na Chaneli 229 ya DStv.
Kila la heri kwa Mnyama, naamini kauli mbiu ya " Kwa Mkapa hatoki Mtu" itaendelea kufanya kazi...
Utabiri:
Simba 2-0 Raja Casablanca
View attachment 2520955
Unazingua jamaaSIMBA 1-3 RAJA CASABLANCA
YANGA 2-0 TP MAZEMBE
Tofauti na matokeo hayo niiteni ZUWENA, all the way from CAPE TOWN.
Jina langu la huku ni NHLANHLA MEBO.
jipe moyoAlafu hii team ya raja Casablanca inakuzwa kwa sababu imeshinda 5 previously match ila hawana jipya sana hata namungo aliwakaxia sana na walibabaika.
Simba ile haifanani kabisa na hii.mkienda Kwa kukalili mambo mtapasuka.Mwarabu ajiandae kukutana na joto la kwa Mkapa, lililowachosha nduguze kina Al Ahly wakakubali yaishe..
Simba - Taifa Kubwa.
Boss Raja sio NAMUNGOKwa Mkapa hatoki mtu!!
Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha?
Ndio, ni Simba Sports Club wakiwaalika Raja Casablanca pale dimba la Benjamin Mkapa, katika mchezo wa pili wa ligi ya mabingwa Africa.
Simba watashuka dimbani wakiwa na lengo moja tu la kutafuta alama 3 mara baada ya kupoteza mchezo wa kwanza. Habari njema ni kuwa Saido Ntibazonkiza atakuwepo kikosini ila pengo kubwa ni kukosekana kwa Sadio Kanoute "Putin" kutokana na kadi.
Raja Casablanca nao wataingia kwa tahadhari katika mchezo huu, japo wanaongoza kundi lao mara baada ya kuivurumisha Vipers goli 5 kwa nunge katika mchezo wao wa kwanza!
Mchezo huu utakuwa majira ya saa 1:00 usiku wa leo, na utakuwa mubashara kupitia ZBC2 ya AzamTv na Chaneli 229 ya DStv.
Kila la heri kwa Mnyama, naamini kauli mbiu ya " Kwa Mkapa hatoki Mtu" itaendelea kufanya kazi...
Utabiri:
Simba 2-0 Raja Casablanca
View attachment 2520955
Khe unavuta bangi ya wapi?Alafu hii team ya raja Casablanca inakuzwa kwa sababu imeshinda 5 previously match ila hawana jipya sana hata namungo aliwakaxia sana na walibabaika.
Hamna Quality ile acheni kujidanganyaMwarabu ajiandae kukutana na joto la kwa Mkapa, lililowachosha nduguze kina Al Ahly wakakubali yaishe..
Simba - Taifa Kubwa.
Uniite maua samaRAja anakufa goli mbili... moja kipindi cha kwanza na lingine kipindi cha pili.....
Hongera Simba
AmenLeo wa kwanza mimi. Mungu awajalie linalowastahili
Uto hatukubaliani na wewe.. tulipata kisago cha aibu. hatuna hamu na Raja..Alafu hii team ya raja Casablanca inakuzwa kwa sababu imeshinda 5 previously match ila hawana jipya sana hata namungo aliwakaxia sana na walibabaika.
Mkuu, kama simba mbovu basi ya msimu jana ilikuwa mbovu zaidi, lakini kila aliekuja kwa Mkapa alipasuka.Simba ile haifanani kabisa na hii.mkienda Kwa kukalili mambo mtapasuka.