FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Raja wanasema wamekuja kutalii Ngorongoro wala hawana presha na game. Wana pakiti wamekuja nayo, matumizi yatajulikana baadae.
20230218_084556.jpg


Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, kama simba mbovu basi ya msimu jana ilikuwa mbovu zaidi, lakini kila aliekuja kwa Mkapa alipasuka.

N.B. Namba ya Kanoute chapa Kennedy Juma au Kapama
Simba mnajitetea Sana Kenge nyie. Mkifungwa Mara hatuna watu, Mara kocha, Mara MO kakataa kutoa motisha kima nyie. Juzi mnalalamika sijui mwaka huu hakuna umoja Kati ya wachezaji hata Mkifungwa poa tu. Mkishinda maneno mengineee
 
Mwaka huu JamiiForums wakiandaa tena Shindano la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) ukishindwa tena na yule sijui nani ( nimemsahau Jina ) akichukua tena nakushauri uachane na hili Jukwaa kwani Juhudi zako za Kuanzisha Mada mbalimbali za Michezo ( kila mara na kila Siku ) Jukwaa hili zitakuwa hazina maana na faida.
Mimi sipo hapa kushindana na mtu. Jifikishie taarifa kwenye ile akaunti yako nyingine ya kipopoma
 
Back
Top Bottom