Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Kusema Ukweli Simba Ikishinda Leo Nitafurahi Sana, Na Ikifungwa Nitalia Machozi Ya Furaha Kuishangilia Raja Casablanca Timu Yangu Ya Utotoni Tangu Nikiwa Na Miaka Kumi [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu tunamuomba atujalie Simba tupate point 3.
Al Ahl, Al Hilal, Al Merrick, Berkane, Kaizer, JS Saura, AS Vita hao wote walikuwa ni Namungo?Boss Raja sio NAMUNGO
Ahahaaah mkuu umeuaKusema Ukweli Simba Ikishinda Leo Nitafurahi Sana, Na Ikifungwa Nitalia Machozi Ya Furaha Kuishangilia Raja Casablanca Timu Yangu Ya Utotoni Tangu Nikiwa Na Miaka Kumi [emoji41]
You might be a member of [emoji2380]Mwaka huu JamiiForums wakiandaa tena Shindano la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) ukishindwa tena na yule sijui nani ( nimemsahau Jina ) akichukua tena nakushauri uachane na hili Jukwaa kwani Juhudi zako za Kuanzisha Mada mbalimbali za Michezo ( kila mara na kila Siku ) Jukwaa hili zitakuwa hazina maana na faida.
Nzeze mosieHatai kwei kwei (Makonda)
Mwandiko kama wa popomaKusema Ukweli Simba Ikishinda Leo Nitafurahi Sana, Na Ikifungwa Nitalia Machozi Ya Furaha Kuishangilia Raja Casablanca Timu Yangu Ya Utotoni Tangu Nikiwa Na Miaka Kumi [emoji41]
Roho mbaya FCNipo nasoma notice za Juangen Galax
Ipi?Mimi sipo hapa kushindana na mtu. Jifikishie taarifa kwenye ile akaunti yako nyingine ya kipopoma
LIBOLOAl Ahl, Al Hilal, Al Merrick, Berkane, Kaizer, JS Saura, AS Vita hao wote walikuwa ni Namungo?
Nipo hapa....Simba 🦁🦁 Nguvu mojaKwa Mkapa hatoki mtu!!
Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha?
Ndio, ni Simba Sports Club wakiwaalika Raja Casablanca pale dimba la Benjamin Mkapa, katika mchezo wa pili wa ligi ya mabingwa Africa.
Simba watashuka dimbani wakiwa na lengo moja tu la kutafuta alama 3 mara baada ya kupoteza mchezo wa kwanza. Habari njema ni kuwa Saido Ntibazonkiza atakuwepo kikosini ila pengo kubwa ni kukosekana kwa Sadio Kanoute "Putin" kutokana na kadi.
Raja Casablanca nao wataingia kwa tahadhari katika mchezo huu, japo wanaongoza kundi lao mara baada ya kuivurumisha Vipers goli 5 kwa nunge katika mchezo wao wa kwanza!
Mchezo huu utakuwa majira ya saa 1:00 usiku wa leo, na utakuwa mubashara kupitia ZBC2 ya AzamTv na Chaneli 229 ya DStv.
Kila la heri kwa Mnyama, naamini kauli mbiu ya " Kwa Mkapa hatoki Mtu" itaendelea kufanya kazi...
Utabiri:
Simba 2-0 Raja Casablanca
View attachment 2520955
Waweza kucheki www.king-shoot.tv muda ukiwadia.Hawawezi kukuangushaWakuu kama kuna link ya kuona hii mechi online,
Msaada pls.