FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Mwaka huu JamiiForums wakiandaa tena Shindano la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) ukishindwa tena na yule sijui nani ( nimemsahau Jina ) akichukua tena nakushauri uachane na hili Jukwaa kwani Juhudi zako za Kuanzisha Mada mbalimbali za Michezo ( kila mara na kila Siku ) Jukwaa hili zitakuwa hazina maana na faida.

Kwani anaanzishe ili ashinde?
 
Kila la kheri mwakilishi wetu Simba SC.

Raja Club Athletic wakikatiza mitaa ya Dar es Salaam, Tanzania waoneshwa matokeo na mashabiki wa Simba SC

كواليس الحصة التدريبية الأخيرة قبل مواجهة نادي سيمبا التنزاني


Source : Raja Club Athletic

1676724334304.png
 
Back
Top Bottom