Nilisema kwa aina ya kikosi cha simba, wakijitahidi ni sare! Kuna watu walichukia. Hata kesho kwa Yanga; wasipokuwa makini, mambo yatajirudia.

Uwekezaji wetu bado uko chini ukilinganisha na wenzetu. Ni hamasa pekee ndiyo itakayo zisaidia timu zetu. Ila siyo kwa kupitia wachezaji aina ya John Rafael Bocco.
 
View attachment 2521925
Mwaka Jana, horoya alimpiga raja 2-1 alafu bado tunaamini kwamba tutavuka mbele ya horoya...tujipange mwakani tusajili watu wa maana.
Kila mwaka tumekuwa tunaambiwa tumesajiri watu wa maana tena kwa pesa mingi, hao wa maana wengine wa kuja kuwasajiri mwakani ni kina nani?
 
Hamasa za vispika
 
Quality ya wachezaji ni ndogo mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…