FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Yaani full package,hawa bahatishi.Hawa madogo sio wa kukabwa na beki mmoja Wana uwezo wa kuhold , kujazana mbele na kumwacha onyango ni kujiletea majanga
Ule ni ushamba tuHata wangeingia uchi wa mnyama ilikua lazima wanyukwe
Sasa kwako unapigwa hivi, kule Morocco itakuaje? [emoji38][emoji38][emoji38]Tunatakiwa kufungwa magoli 3 zaidi ili tufikie ubovu wa Uto
Na atoboi mechi hata moja niliwahi lisema hapa mapemaSimba anakua wa mwisho kwenye ili kundi
Mkuu basi limetoka mbweni mpaka temeke kwa rivers [emoji706][emoji706]Walikabidhiwa mpaka uwanja lakini bado wakafungwa [emoji16][emoji16]