Hana timu ya kumfunga vipers home and away [emoji853]
 
Dah inafikirisha saaana
 
Sehemu pekee iliyokua inawapa kiburi makolo ni michuano,binafsi nilijua msimu huu ndio mwisho wa kelele na propaganda zao zote,nilifurahi makolo wapoqualify group stage maana nilijua ndio mwisho wa kelele zao zote,yan hapa bado kabisa,makolo mtaombea corona irudi πŸ˜‚
 
Mashabiki wa Simba Hadi Viongozi wetu wanatudharau, wanatuletea manzoki siku ya uchaguzi halafu tunampigia kura. Kwa Sasa Simba Viongozi Ni wachumia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…