FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
No, kama Vipers alikufa kwake, Simba leo kafa kwake, mwenye faida hapa labda ni Horoya kama atawakazia waarabu nyumbani kwake apate hata suluhu..

Lakini ikitokea Horoya akapoteza pointi kwa Vipers, then Simba ashinde zote mbili za Vipers, bado nafasi ipo, sema hawa jamaa ndio wataongoza kundi kwa pointi nyingi sana.
Hana timu ya kumfunga vipers home and away [emoji853]
 
Niliwaambia mashabiki wenzangu wa Simba sioni sababu ya kuletwa huyu kocha mpya katikati ya msimu wakati Mgunda anafanya vizuri na alishapata combination nzuri ya Boko Chama na Ntibanzonkiza. Walibinishukia kama mwewe. Leo hii toka huyu kocha aje Simba imekuwa ikishinda kwa tabu huku ikicheza mpira mbovu na Boko hafungi tena.
Dah inafikirisha saaana
 
Wapi msimamo. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Huu hapa
IMG_20230218_210531.jpg
 
Sehemu pekee iliyokua inawapa kiburi makolo ni michuano,binafsi nilijua msimu huu ndio mwisho wa kelele na propaganda zao zote,nilifurahi makolo wapoqualify group stage maana nilijua ndio mwisho wa kelele zao zote,yan hapa bado kabisa,makolo mtaombea corona irudi 😂
 
Mashabiki wa Simba Hadi Viongozi wetu wanatudharau, wanatuletea manzoki siku ya uchaguzi halafu tunampigia kura. Kwa Sasa Simba Viongozi Ni wachumia tumbo
 
Back
Top Bottom