Ohooop nawaza semaji la caf kwa kule kutamba before game and after game hakika yametukuta kukuche haraka na ule muda ufike haraka
 
Wana Uto tulieni kesho yaja
Ni heri kesho ingetoweshwa katika kalenda
 

Attachments

  • Screenshot_2023-02-18-22-02-07-94_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    56.8 KB · Views: 1
SIMBA 1-3 RAJA CASABLANCA

YANGA 2-0 TP MAZEMBE

Tofauti na matokeo hayo niiteni ZUWENA, all the way from CAPE TOWN.

Jina langu la huku ni NHLANHLA MEBO.
Matokeo ya Simba leo ni ngapi ngapi wadau??
 
Bado tuna nafasi ...ni kupambana
Nafas ya ngapi mkuu, labda ya 3. Maana nafasi pekee iliyopo ni kufikisha point 6 timu hii mbovu ikijitahidi akaifunga Horoya na Vipers.

Horoya ana point 4 anahitaji point 3 pekee toka kwa Vipers nyumbani afikishe 7.

Safari hii mkiani mwa kundi panaifaa hii timu inayoongozwa kisanii. Vipers lazima ashinde game yake nyumbani dhidi ya Simba.
 
Kwann wamelirudisha bas nyuma nyuma

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dah!.. hasira za kufungwa wamemshushia dogo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…