Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kwa Mkapa hatoki mtu!!
Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha?
Kikosi cha Simba
Kikosi cha Raja
Ndio, ni Simba Sports Club wakiwaalika Raja Casablanca pale dimba la Benjamin Mkapa, katika mchezo wa pili wa ligi ya mabingwa Africa.
Simba watashuka dimbani wakiwa na lengo moja tu la kutafuta alama 3 mara baada ya kupoteza mchezo wa kwanza. Habari njema ni kuwa Saido Ntibazonkiza atakuwepo kikosini ila pengo kubwa ni kukosekana kwa Sadio Kanoute "Putin" kutokana na kadi.
Raja Casablanca nao wataingia kwa tahadhari katika mchezo huu, japo wanaongoza kundi lao mara baada ya kuivurumisha Vipers goli 5 kwa nunge katika mchezo wao wa kwanza!
Mchezo huu utakuwa majira ya saa 1:00 usiku wa leo, na utakuwa mubashara kupitia ZBC2 ya AzamTv na Chaneli 229 ya DStv.
Kila la heri kwa Mnyama, naamini kauli mbiu ya " Kwa Mkapa hatoki Mtu" itaendelea kufanya kazi...
Utabiri:
Simba 2-0 Raja Casablanca
Mchezo umeanza
2’ Bado mchezo haujatulia kwa timu zote
4’ Simba wanafanya shambulizi kupitia kwa Kapombe lakini Raja wanaokoa
5’ Raja wanapata kona mbili, zinapigwa zinaokolewa
6’ Timu zinacheza kwa presha na mpira haujawa na utulivu
10' Simba wanapata kona, lakini haina madhara
16' Krosi ya Kapombe inatua mikononi mwa kipa wa Raja
19' Simba wanapata faulo
20' Sakho anakosa utulivu licha ya kupata nafasi nzuri
26' Wanajaribu kupoozesha kasi ya mchezo
30’ Goooooooooooooo
Hamza Khabba anaipatia Raja goli la kwanza kwa shuti la nje ya 18
35' Kasi ya mchezo umeoungua na Raja wanaonekana kuutuliza mpira
42' Simba wanapata faulo karibu la lango la Raja, inapigwa mpira unadakwa na kipa
45' Simba wanapata kona mbili mfululizi hawazitumii vizuri
MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kinaanza Simba wanamtoa Sawadogo, anaingia Jonas Mkude
50’ Simba wanaanza kujipanga kwa kumiliki mpira muda mwingi
52' Simba wanaongeza presha kwa wapinzani
58’ Mabadiliko kwa Simba, anatoka Bocco anaingia Jean Baleke
59’ Raja wanapata nafasi ya wazi wanashindwa kuitumia vizuri
61’ Shambulizi kali langoni kwa Raja, inakuwa kona
65’ Purukushana inatokea, wachezaji wanavutana mchezo unasimama kwa dakika moja
66’ Mchezo unaendelea
75' Raja wanarejea mchezo na kuwapa presha Simba
82' Goooooooooooooooooooooooo
Simba wanaruhusu goli la pili kupitia kwa Soufiane Benjdida
84' Penatiiii Raja Casablanca wanapata penati
85' GOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Ismael Mokadem anafunga kwa njia ya penati
89' Simba wameshakata tamaa, wachezaji wamepunguza kasi
90' Zinaongezwa dakika 5
FULL TIME