Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,680
[emoji115]Kipindi cha kwanza kimemalizika Simba wakiwa nyuma kwa goli moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji115]Kipindi cha kwanza kimemalizika Simba wakiwa nyuma kwa goli moja.
Kila mtu afurahi muda wake,nani anajua ya baadaye 😀😀😀Tutaungana baadae hapa wakulia walie wa kucheka wacheke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji10]kumbe upo mchambuzi wetu mwandamiziKwa mkaaaapaaa hatoki mtuuuu
wamebaki na nguvu ya kusukuma nnyaaaa tu hakuna kitu wanaweza tenaWana thiiiiiimbaa guvu mojaaaa
Baadae ikifika wengine huharibu mida yao kwa kuwatusi.Kila mtu afurahi muda wake,nani anajua ya baadaye 😀😀😀
And here we areTuzuie wasifunge tu, kufika si shida.
We jamaa si ungenitag nibet collet scoreKipindi cha kwanza kimemalizika Simba wakiwa nyuma kwa goli moja.
Mmeanza roho mbayaRaja ni genge la wahuni waliokuja kutudhalilisha kwa Mkapa.
Dawa yao ni kuwatandika viatu mpaka wote watolewe uwanjani kwa machela.
Ndo shida ya waharamu.Jamaa washaanza kujiangusha
Kelele tunapiga za kutosha na misonyo inasikika ila nashindwa kuelewa hawa mabwana sijui wameingia na earphones au namna ganiWapigieni kelele hapo si mpo uwanjani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji10]kumbe upo mchambuzi wetu mwandamizi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app