Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kocha shida hatuna mchezaji hata mmoja apoHuyu kocha alisajiliwa kwa kazi gan?
3 bilaaaWakuu kunani tena huko?
Simba anakufa hamsa tusubiri gemu ianze uone watu wanavyoukimbia uwanja leo, Yanga km upo sahihi Ila kwa Simba umepoteza ubashiri
We hujui kiarabu 🤣🤣🤣Si kweli mkuu...
Ni 0-2
Fafanua zaidiItoshe kusema kuwa pale uwanjani kuna vitu vilifukiwa sasa yeye na maji yake ya upako yameharibu kila kitu Inauma sana
Tulia weweHamsa hamsa imeanza huko
Hamsa hamsa imeanza huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho kuna turubai kwako na hatujui mgonjwa anaumwa nini jirani.MAKOLO WHY MNALITIA AIBU YA KARNE TAIFA?