FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
No, kama Vipers alikufa kwake, Simba leo kafa kwake, mwenye faida hapa labda ni Horoya kama atawakazia waarabu nyumbani kwake apate hata suluhu..

Lakini ikitokea Horoya akapoteza pointi kwa Vipers, then Simba ashinde zote mbili za Vipers, bado nafasi ipo, sema hawa jamaa ndio wataongoza kundi kwa pointi nyingi sana.
Uganda [emoji1254] hautapata matokeo Acha kujidanganya
 
Hapa Vipers anapigwa nje ndani,Horoya hatoki kule kwa Raja tuna droo point ngapi hapo mwanangu mwenyewe 10 tunafuzu.

Maneno mtani hayo ya kujipa moyo.
 
Back
Top Bottom