FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Usimsingizie kibu DHakuna kitu,Simba hakuna wachezaji pale wakupambana katika haya mashindano Wala ligi ,we unamchezaji kama kibu anajituma mazoezini apate namba wanjani analeta ushuzi tuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimsingizie kibu DHakuna kitu,Simba hakuna wachezaji pale wakupambana katika haya mashindano Wala ligi ,we unamchezaji kama kibu anajituma mazoezini apate namba wanjani analeta ushuzi tuh
AmenLeo wa kwanza mimi. Mungu awajalie linalowastahili
Na nyie uto mjiangalie, mazembe anaweza kuwapiga mkono. Usimcheke kolo kabla hujavuka mtoHii Simba inalitia aibu taifa bora Yanga
Sasa wewe, mama la mama, kam kwa kwako tu umechunguliwa 3 - 0 kule si ndio kichapo heviiiRAja 6 vs Yanga 0
Mbona leo skuoni hapa kijiwe cYani Simba sijui atafanyaje leo ili ashinde jamani? Atafanyaje kuiondoa aibu inayojengeka kuwa Simba now ni ya hovyo!
Simba walikosea sn kutopata matokeo ya ushindi kwa Horoya timu ya kawaida kabisa ile,daaaah!
Visingizo vya kijinga nunueni wachezaji mbona NAMUNGO mnacheza nao saa 1 kwa mkapaHii game iliisha tangu Caf walipo tukatalia ombi la kucheza saa kumi..
Imfunge nani?Ilikuwa ni suala la muda tu.
Simba imejitahidi kadiri ya uwezo wa wachezaji wake.
Ukilinganisha Raja ni wepesi na wakishambulia hawatoi pasi chonganishi kama Simba.
Hata hivyo, kwa kufanya maboresho ya madhaifu bado Simba ina nafasi ya kupata nafasi ya pili iwapo itashinda mechi 3 na sare 1.
Naunga mkono hoja
Pira la Yanga ni pira vita kesho mazembe watalala na ViatuNa nyie uto mjiangalie, mazembe anaweza kuwapiga mkono. Usimcheke kolo kabla hujavuka mto
This is kimba
Na hizo 6 zenyewe baada ya wachezaji wetu wawili kula UMEME.Yanga 3-3 Raja. Yanga haikufungwa uwanja wa taifa na raja na Wala haikuteswa hivi km mnavyoteseka nyinyi