FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Yani Simba sijui atafanyaje leo ili ashinde jamani? Atafanyaje kuiondoa aibu inayojengeka kuwa Simba now ni ya hovyo!


Simba walikosea sn kutopata matokeo ya ushindi kwa Horoya timu ya kawaida kabisa ile,daaaah!
Mbona leo skuoni hapa kijiwe c
Hetu cha kahawa mbagala
 
Ilikuwa ni suala la muda tu.

Simba imejitahidi kadiri ya uwezo wa wachezaji wake.

Ukilinganisha Raja ni wepesi na wakishambulia hawatoi pasi chonganishi kama Simba.

Hata hivyo, kwa kufanya maboresho ya madhaifu bado Simba ina nafasi ya kupata nafasi ya pili iwapo itashinda mechi 3 na sare 1.
Imfunge nani?
 
Back
Top Bottom