Bado,tutamfunga Horoya na vipers tumpige home and away na Raja tutoe draw kwao ,hapo tukifikisha point 10 tunasonga
Mkifanikiwa kufanya hivyo. Horoya nae atamfunga Vipers mechi ya marudiano na Raja home na kufosi sare Morocco. Kwa hiyo watakuwa na Alama 11.
Hapo vipi?