Kila la heri wana-Simba.Mechi ni ngumu,fanyeni maajabu,muwafunge hata mojà bila,ili msimuone kocha na baadhi ya wachezaji,wabaya.
 
Saidoo huwa anajitahidi lakini huwa anapoteza ball.. kuwa na chama na saidoo ndani sijawahi kupenda.

Golini ally salim sina imani nae.
Kibu as a striker nimekuwa nikitamani kumuona hapo lakini sio kumjaribu leo(ngoja tuone atafanya nini, shida yake kubwa nguvu nyingi kuliko akili)
 
Furaha yetu ni kubwa sana.

Mioyo yetu inafuraha sana.

Hongera Tanzania.

Hongera Simba.

#Nguvumoja#
 
Mikia mmejificha huku, tayari kuna fungulia mbwa huku😀😀😀
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…