Dah still tunafunga magoli magumu sanaaa, kuwania mipira 50/50 imeonekana kutushinda hata hivyo Nina wasiwasi na ukabaji wa ngoma mno maana nimeona anakabia macho, kucheza Kwa Luis ilikuwa ni bet...

Reality ni kwamba tumezidiwa mbali sana na al ahly licha sisi kupossess sana, unaiona hatari ya al ahly pindi wakishika mpira, wao naona hucheza kwa malengo pia Nina ukakasi na concentration, focus, kujiposition Kwa wachezaji hasa kwenye kipindi cha psychological games/tricks mfano faulu, kadi, ugomvi wa hapa na pale hili ni muhimu kuliangalia Kwa upana, lakini kama tunataka kufika mbali Kuna wachezaji hatutakiwi kuwa nao au kuwategemea sana kwenye kikosi ni wakati wa maingizo mapya tena vijana, kwani hivi Sasa wanachezea majina tu ni muda wa kuwaamini vijana tulionao mfano mwenda tumuamini huyu kijana ni potential ni wakati wa kumtengenezea confidence though nafasi ya kucheza si zawadi lazima uistahili...all in all siyo mbaya Kwa hili.
 
Ifikie kipindi Simba areview ile slogan yake

Aige ya Yanga
 

Ngoma /Kanoute/Mzamiru wote hao ni no 8 sio no 6
Mara ya mwisho kuwa na no 6 halisi alikuwa Lwanga na ndo msimu tumefungwa goli chache CAF hata huyu Al ahly atupiga moja tu Cairo

So ukweli ni kuwa Simba kwa sasa hatuna no 6(kiungo mkabaji halisi anayewalinda mabeki)

Tuna mabeki bora kabisa Inonga na Malone ila wataendelea kufungwa sana magoli sababu hawana no 6
 
Kwa kweli game ilikua ya kiume sana, kongole kwa Simba, chama langu,
Uwanja wa Mkapa umefanyiwa maboresho makubwa sana, sikuona tofauti na ulaya au South Africa, tuzidi kuboresha uwanja wetu.
CC
financial services
Hayo yalikuwa ni maboresho ya fast kuruhusu hii game ipite. Utafungwa then maboresho makubwa yatafanyika na kuisha July 2024.
 
Ww ulivyokandwa na Ihefu ukwel aliambiwa nan
Kwani kuna mtu nilimtukana humu jukwaani baada ya kufungwa na hao Ihefu? Au kuna mtu nilimzuia kutoa maoni yake humu jukwaani?

Jibu ni hapana! Mimi kama mimi nilimshutumu tu kocha kwa kupanga kikosi cha wachezaji wengi wasio na match fitness. Mechi iliyofuata alipanga kikosi kizuri na tukapata ushindi.

Ushauri; tujitahidi kuvumiliana. Hata kama hufurahishwi na maoni ya mjumbe mwingine.
 
Sioni sababu ya kumtukana huyu jamaa kisa kuwaambia ukweli kumuita mtu usie mfahamu shoga Ni ukozefu was akili na pesa pia
Tatizo humu jukwaani tuna watoto wengi wadogo wa miaka ya 2000. Hawa vifaranga huwa hawaoni kazi kuwatukana hata baba/mama zao matusi ya nguoni.

Mtu mzima kamwe hawezi kumparamia tu mtu mwingine from nowhere, na kumtukana bila ya sababu ya msingi.
 
Well
Well said mkuu.. sina shaka na ww
 
This might be true.....
Ila sio kwa mechi ya leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…