Hii timu inaruhusu sana magoli kwenye safu yake ya ulinzi. Yaani ni kawaida sana kuiona imeshinda 4-2, 2-1, nk. Ukija upande wa pili, mambo ni tofauti kabisa.
Kabisa timu yao beki zake ni 🚮 wale waarabu kwa mpira ule wakija hapa wakicheza na yanga watakufa mapema sana
 
Bwana wee kunywa maji ushushe jazba...hayo hayatuhusu kwa sasa tunawacheka nyie mlotaga mayai...
 
Kusema ukweli hata kama hatujafungwa lakini haya magoli siyo ya kushangilia, sababu japokuwa tumetoka draw ila kwenye aggregates ni kama tumefungwa tu, huko kwao tuna shughuli pevu ambayo siyo rahisi sisi kutoka salama
Magoli yapi ya kushangilia
 
Kusema ukweli hata kama hatujafungwa lakini haya magoli siyo ya kushangilia, sababu japokuwa tumetoka draw ila kwenye aggregates ni kama tumefungwa tu, huko kwao tuna shughuli pevu ambayo siyo rahisi sisi kutoka salama
Huko hatuna cha kupoteza . Ni kushambuli mwanzo mwisho hadi mwarabu aite maji mma
 
Ila uwe unaangalia na mahali pa kuleta hoja zako au muda...watu tumefurahi na matokeo yetu ww unaleta negativity zako..any way pole mpendwa jirani msamehe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…