Hata wapewe hadubin watatwangwa kama kitwangwa alivyo twangwa🤣🤣🤣🤣
 
Milango imefunguliwa mapema saa nne asubuhi tena walisema wataifungua yote, ila naona kuna foleni,milangoni hizi foleni za nini?

Yaani wabongo wanapenda magumashi ili mradi wapige hela.
 
Wameweka utaratibu unaochekewesha watu kuingia ndani

Check point zipo kama tatu leo una panchi card zaidi ya mara mbili kukaguana kumukuwa kwingi.

Mpaka muda huu kuna loop holes kadhaa upande wa goli la kusini na nje bado kuna nyomi la watu
 
Milango imefunguliwa mapema saa nne asubuhi tena walisema wataifungua yote, ila naona kuna foleni,milangoni hizi foleni za nini?

Yaani wabongo wanapenda magumashi ili mradi wapige hela.
Utaratibu wa kijinga sana, kuna namna huwa hatujui kujisimamia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…