FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Sipati picha hii mechi, first mach AFICAN LEAGUE...Fursa angekuwa ameipata YANGA sipati picha kwenye mitandaoni,.... ni propagandist wazuri sana...
 
Sipati picha hii mechi, first mach AFICAN LEAGUE...Fursa angekuwa ameipata YANGA sipati picha kwenye mitandaoni,.... ni propagandist wazuri sana...
Kitu Kikiwa Yanga lazima kitrend .
 
Kila La Heri Simba Sports Club

One Team, One Dream
Nguvu Moja
 
4a490e2e-7b3f-48ea-a837-aea28088c204.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gamondi na wachezaji wake Mungu awampe nini tena?

Siku chache zijazo Yanga itakipiga na Al-Ahly kwenye uwanja huohuo wa kwa Mkapa kuania kombe la mabingwa. Someni madhaifu na mazuri Yao Leo, kodoeni macho kodo.
 
Back
Top Bottom