FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Kila la kheri Al ahly timu Bora zaidi barani Afrika [emoji2957] Sisi Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii Mabingwa wa TANZANIA tupo pamoja nanyi
Ukiwa bingwa lazima ushabikie bingwa mwenzako..
 
Rage kwa hakika hakukusea ,zamani mlikuwa mnashangilia post za CAF kama ubingwa sasa mmehamia FIFA .

Eti ubora wetu wakati hiyo ni post tu kama post nyingine wala haijasema kuhusu ubora ,pamoja na sifa alitoa Rage kuhusu Makolo sifa namba mbili ya Makolo ni ushamba.
Post kama post nyingine kwa reference ipi?

Unajua thamani ya brand kwenye ads?

Biashara yako ikipostiwa na page ya Mkojani itakuwa ni sawa na kupostiwa na page ya Cristiano Ronaldo?

Utasema post ya Cristiano Ronaldo ni kama post nyingine kwa reference ya post ya Mkojani?
 
Yani mtakufa nawaambia...yani sisi tuna rahaaaaaa kabla ya mechi haijalishi matokeo ila ku appear hapa ni booonge la hatua...
Screenshot_20231020-151016_Instagram.jpg
 

Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri.

Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya kwanza.

Mechi itakuwa Mubashara Azam Sports 1HD kuanzia saa 12:00 Jioni kwa masaa ya Afrika Mashariki lakini mapema kutakuwa na sherehe za ufunguzi huku Ali Kiba akiongoza burudani.

Yanayojiri yote utayapata katika uzi huu…

Yapi maoni yako kuhusu mechi hii?

Baadhi ya Watu mashuhuri waliohudhuria tukio hili

View attachment 2787299
Rais wa FIFA ametua Tanzania​
Simba 4 Al Ahly 1
 
Back
Top Bottom