FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri.

Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya kwanza.

Mechi itakuwa Mubashara Azam Sports 1HD kuanzia saa 12:00 Jioni kwa masaa ya Afrika Mashariki lakini mapema kutakuwa na sherehe za ufunguzi huku Ali Kiba akiongoza burudani.

Yanayojiri yote utayapata katika uzi huu…

Yapi maoni yako kuhusu mechi hii?

Baadhi ya Watu mashuhuri waliohudhuria tukio hili

View attachment 2787299
Rais wa FIFA Infantino ametua Tanzania

View attachment 2787302
Legendari Arserne Wenger na Moise Katumbi kwenye mkutano na Waandishi wa Habari
Kila laheri wawakilishi wa nchi.
 
Leo tunamkanda huyu mwarabu mwanzo mwisho, dakika 90 hapati hata shot on target huyu kuzi
 
Kikosi cha mzee wa objektivu jiki hapa
FB_IMG_1697811072860.jpg
 
Back
Top Bottom