FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri.

Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya kwanza.

Mechi itakuwa Mubashara Azam Sports 1HD kuanzia saa 12:00 Jioni kwa masaa ya Afrika Mashariki lakini mapema kutakuwa na sherehe za ufunguzi huku Ali Kiba akiongoza burudani.

Yanayojiri yote utayapata katika uzi huu…

Yapi maoni yako kuhusu mechi hii?

Baadhi ya Watu mashuhuri waliohudhuria tukio hili

View attachment 2787299
Rais wa FIFA, Infantino (kulia) ametua Tanzania

View attachment 2787302
Legendari Arsene Wenger na Moise Katumbi kwenye mkutano na Waandishi wa Habari

View attachment 2787383
Hali ya Uwanja mpaka sasa

UFUNGUZI WA TUKIO UMEANZA RASMI

View attachment 2787403
Kikosi cha Simba kinachoanza
Suley unaitendea haki taaluma yako ya Habari.....hongera sana
 
Hii historia imeeshaandikwa..... Tulizoea kuona huko mambele, now ni kwa Mkapa....

Ndio maana ya #NguvuMoja....
 
Wajitahidi tu kupunguza idadi ya magoli, maana hakuna wakina Tatu Malogo wa kuwasaidia leo.
 
Na mwandishi wetu
Screenshot_20231020_175353_Chrome.jpg
Screenshot_20231020_175403_Chrome.jpg
Screenshot_20231020_175347_Chrome.jpg
Screenshot_20231020_175350_Chrome.jpg
Screenshot_20231020_175308_Chrome.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20231020_175308_Chrome.jpg
    Screenshot_20231020_175308_Chrome.jpg
    35.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231020_175350_Chrome.jpg
    Screenshot_20231020_175350_Chrome.jpg
    28.2 KB · Views: 1
Hii club ikiamua kuwa serious kuanzia sasa (Management mpaka uwanjani) itafika mbali sana, ni moja kati ya Club ambayo fursa huzifuata, huu ndio muda wa kuikamata hii fursa na kupaa kimichezo Africa.


Nguvu moja [emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom