uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Tusikate tamaa, lakini hapa ni ngumu kidogobado nafasi tunayo, kocha afanye sub nzuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusikate tamaa, lakini hapa ni ngumu kidogobado nafasi tunayo, kocha afanye sub nzuri tu
NAISCREENSHOT HII REPLYSimba wazima ila al ahly kwa leo wamecheza chini sana sasa kuna uwezekano tumewabana lakini sio vbonde
Ndo akili Yao ilipoishia
Basi hata sisi tumetumia mbinu hiyo hiyo ya kuwaruhusu wapate bao ili wapate confidence halafu tuwabutueHawajapwaya hiyo ni mbinu wanayoitumia muone kuwa hawana hatari mfunguke na beki zipande na matokeo yake ndio hayo.
Inonga me naona leo yuko slow sana kaam kocha atampuzisha itakuwa poa sana
Una hojaKocha wa Taifa Stars aliona mapema sana wengine mkamtukana. Kapombe na Zimbwe wametumika sana, wamechoka.
Nazani leo mmeona objectives football, Al Ahly pamoja hawa kutawala mpira ila wametengeneza nafasi tatu za hatari wakatumia moja,ila kama wangekuwa makini tayari ingekuwa mshakula tatu.Al ahly hawajatuzidi kwakwel kwwnye mpira kwa leo sema hatuna Striker tu Phiri tunamtaka
Hongera sana kwa kocha wa Taifa StarsKocha wa Taifa Stars aliona mapema sana wengine mkamtukana. Kapombe na Zimbwe wametumika sana, wamechoka.
Watarudisha Tu matusi [emoji2957]Mashabiki wa Simba walivyo hamnazo bado wanasubiri wakiamini watarudisha[emoji25][emoji25]
Sahau na kipind cha pili watawaachia mtawale gemu kama kawaida alafu watashambulia kwa kushtukizaBasi hata sisi tumetumia mbinu hiyo hiyo ya kuwaruhusu wapate bao ili wapate confidence halafu tuwabutue
Rekebisheni makosa mpigwe 5Bado tuna dk 45 za kurekebisha makosa. Hatujacheza vby