FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Naona hata sehrmu ya kubetia,hawaamini kama goli la Al Ahly litabaki moja hivyohivyo.Tutarajie ongrzeko la magoli.
 
Al ahly hawajatuzidi kwakwel kwwnye mpira kwa leo sema hatuna Striker tu Phiri tunamtaka
Nazani leo mmeona objectives football, Al Ahly pamoja hawa kutawala mpira ila wametengeneza nafasi tatu za hatari wakatumia moja,ila kama wangekuwa makini tayari ingekuwa mshakula tatu.

Sasa kipindi cha pili mkifunguka na kupanic shughuli wanaimaliza hapa hapa,Misri mtaenda kutalii.
 
Hii timu inacheza cheza tu ili muda uishe ni kama kikundi cha walevi kimejikusanya hakuna short on target hata moja, hakuna forward yaani objectiiv robertihno anayodanga watu kila siku haipo
 
Basi hata sisi tumetumia mbinu hiyo hiyo ya kuwaruhusu wapate bao ili wapate confidence halafu tuwabutue
Sahau na kipind cha pili watawaachia mtawale gemu kama kawaida alafu watashambulia kwa kushtukiza

FT SIMBA 0- 3 AL AHLY
 
Back
Top Bottom