Unateseka bhana weee.....Nani ateseke? Yani niteseke wakati Nina medali shingoni ya fainali but unaangaika na kitimu kibovu icho mpaka unapita kwa penalty na zenyewe kwa nguvu za ndumba na bado iyo ni nusu je ukifika fainali kama yanga si utavua nguo kabisa na kutembea uchi
Acha watakufungia siku ya furaha. YYaan hapa navurugana na watu, niko vululuu vululu, sioni wala sisikii.
Tayari
Tena asemee yotee kabisaa. LolU
Unateseka bhana weee.....
Uandike paragraph yote hiyo kama siyo uchungu ni nini...
Ongea hiyo kitu ikutokeπ
Ahsante Babe...Tupo japo viroho vinasokotwa. Hatuna la kufanya. Tunawapongeza warembo wa simba. Siku yenu leo π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°
Amina love π₯° hakuna shida, utanicheck Whatsapp kama kawa. Hongereni kwa kweli. Leo kwa mara ya kwanza, nimeiombea simba ishinde. Nashukuru love π₯°Bantu Lady
Dear Luv, nimekumic sana, ππ
Ila Leo nna furaha mnoo ya kuvuka semi, ntakucheki kesho, nna jambo nataka uni help.
Nafurahi unatunenea mema leo kutwa nzima, mdada mwenye β€οΈ moyo wako mjinii.
ππ
π€£π€£π€£π€£ Pole yako ndugu unadhani fainali ni ya Kila mtu,,Tena kwa timu yenu iyo inayotegemea kubustiwa na mwamposaπ€£π€£ kama tu Al masry mbovu kakutoa kamasi iyo fainali unafikaje?Hicho kichaka cha medali kinaenda kufyekwa mnyama anafika hiyo final na kubeba kabisa , na kule champions nyinyi underdog hamna cha kutambia
Kwani wao walikuwa wanachezea uwanja Gani?Wewe huoni kama uwanja ulikua unazingua
Ahsantee luv ake, ππAmina love π₯° hakuna shida, utanicheck Whatsapp kama kawa. Hongereni kwa kweli. Leo kwa mara ya kwanza, nimeiombea simba ishinde. Nashukuru love π₯°
Wewe kenge kaa kimyaπ€£π€£π€£π€£ Pole yako ndugu unadhani fainali ni ya Kila mtu,,Tena kwa timu yenu iyo inayotegemea kubustiwa na mwamposaπ€£π€£ kama tu Al masry mbovu kakutoa kamasi iyo fainali unafikaje?
Tulia weweπNAPINGA KUPIGWA BAN
KWENU MODS[emoji23][emoji26][emoji32]
USHINDI WA MATUTA ....SIO USHINDI HALALI
Bani yeyote.....ntampigia kiduku
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Love you too my sweet π₯°πAhsantee luv ake, ππ
ππππ, unajua vile mie nakupenda.
Nicheki inboxBantu Lady
Dear Luv, nimekumic sana, ππ
Ila Leo nna furaha mnoo ya kuvuka semi, ntakucheki kesho, nna jambo nataka uni help.
Nafurahi unatunenea mema leo kutwa nzima, mdada mwenye β€οΈ moyo wako mjinii.
ππ
Naona wameshapewa haki yaoππΉπΉπΉ wameyakanyaga leo
Kenge ni mama yako kuwa na adabu usituletee bangi zako hapa unasikia!Wewe kenge kaa kimya
Aliweka kifufumbwa rehani?Mod's wafanye yao haraka,
Hapa jirani kuna mmoja wamemvutia kwenye pagale anaenda kutimiza ahadi yake.