FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Katika upigaji wa Penati hata Timu ya Wendawazimu na Wapumbavu inaweza Kushinda kwani Kikubwa ni Bahati na Wengine bahati hiyo hiyo huwa hawana Ndani hadi Kuwakimbia pia Wababe wao wa Kudumu kwa sababu za Kitoto na Kipuuzi.
 
Umesahau Utopolo Alitakiwa Ashinde Goli Moja Taifa Ila Akashindwa Akatolewa 16
Hahaha ile ajali kazini. Ila hawa wa leo sio waatabu hawa wapemba...waarabu gani ata gusa achia twende kwao hawawezi.....hawa kengold iliyochangamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…