FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Kuna links nyingine ni za kiwaki sana yaani Kila baada ya dk 5 wananiletea picha za ngono ukisema uondoe ndio inafunguka full screen Niko na wife pembeni mpaka anahisi naangalia pirau badala ya mechi nimeamua kuzima laptop mazima.
bora uangalie hizo picha za pilau kuliko kushuhudia stars watakavyofungwa
ni ushauri tu bro
 
Kazi yetu hapa Taifa sisi wabongo ni kushangilia matukio.
Wakitoa tunashangilia mtu wetu akipiga tunashangilia.
Hivyo yaani...
 
Taifa gani ambalo kila kitu wanatanguliza siasa hata pasipotakiwa?.


Nchi hii wapo wafuasi wa CCM, ACT, CUF, CHADEMA et al na wale wenzangu na mimi tusiopenda kitu kinaitwa siasa, sasa ikicheza Taifa stars inageuka CCM Stars jinsi wana CCM na viranja wao wanavyofanya.


Hali hii ndio imechangia matabaka, wengine wanaiunga mkono timu huku wengine tukiwa tunasema lolote baya liwakute CCM B.
na wakifungwa hapa waposti pia picha ya SSH na kauwanja cha BWM
sio kusubiri tu timu ishinde ndo ajizolee maujiko
huyo mama akubali matokeo ya mpira
 
  • Thanks
Reactions: K11
Bwana mdogo kababatiza goli la kimazabe juzi tayari kapewa u captain na wakongwe wapo nje? Naogopa kitakachotokea kipindi Cha kwanza , Hawa madude sio ya kuwafanyia majaribio. Ndio mabingwa watetezi wa Kombe la dunia ukanfa wa Africa kwa fainali zilizofanyika Qatar
Una makengeza captain ni himid mao watanzania IQ zetu ndogo sana ndiyo maana CCM inatutawala
 
Back
Top Bottom