FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Yangu ni hayo tu.vijana wajikaze wasifungwe goli za kutosha Bali wajilinde na kupunguza idadi ya magoli .tusitake kushindana na moroco hatuwawezi.
 
Kwenye mkeka nimeiua stars, kihasibu ntakuwa nafuraha mara 2, moja mkeka kutiki pili ushindi wa Morocco dhidi ya timu mbovu inayopoteza pesa za umma.
 
Back
Top Bottom