Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahi sana.Bila shaka umemuona alivyokosa penalty
.Kwenye mkeka nimeiua stars, kihasibu ntakuwa nafuraha mara 2, moja mkeka kutiki pili ushindi wa Morocco dhidi ya timu mbovu inayopoteza pesa za umma.
Hapo kipa tunae au ?Ukuta wa Yanga umefungwa
Hakuna kipa hapa msitutanie. Yaani mchezaji hamjawahi kumuona kisa yuko Ulaya ndo mumuanzishe?Goooooooooooal Morroco wanapata goli hapa
Kipa yupo field
Matokeo leo ni 0-0Nimeiua Stars
Kocha kachemsha...Kipa yupo field
Yupo trialHakuna kipa hapa msitutanie. Yaani mchezaji hamjawahi kumuona kisa yuko Ulaya ndo mumuanzishe?
Ushachana😂😂Nimeiua Stars
Hakuna namnaWw ulitaka tufanyaje sasa
Mkeka umeanza kutiki mkuuMatokeo leo ni 0-0
Duuh we Magomeni Morocco au upo Kinondoni Mkwajuni?Gooooooooo, safiiiii Morocco, piga hawa Stars hadi akili ziwakae sawa
Moderator wekeni score board kwenye title basi, mbona mnafanya dharau kiasi hiki
we jamaa una roho mbaya sana.yawezekana tunaishi na muarabu nchi hiiGooooooooo, safiiiii Morocco, piga hawa Stars hadi akili ziwakae sawa
Hapo beki utamlaumu vipi mpira umepikiwa katikati ya uwanja?Ukuta wa Yanga umefungwa