mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Huyu kipa ni kama yule Ayubu wa Simba!! Hamna kitu hapo!! Shuti toka katikati ya uwanja linamkuta kipa kajisahau na kushangaa mpira anauona ndani ya nyavu!!Hamna kipa hapo
Unaweza kukuta mlango umefungwa kumbe kitasa hakijafungwa na ufunguo wala komeo haipo!! ukisema ngoja nijaribu kuufungua unashangaa unafunguka vizurti tu!! Ndivyo alivyojaribu yule mfungaji wa morocco toka katikati ya uwanja!! HAMNA KIPA HAPO!!