MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
NitakuwepoKwahiyo akina Achraf Hakimi watakuwepo ndani ya nyumba leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NitakuwepoKwahiyo akina Achraf Hakimi watakuwepo ndani ya nyumba leo?
Kipa anadaka mpira Kama anakamata balale 😆😆Hamna kipa pale
Kipa anadaka utafikiri anacheza Volleyball.Mama kamtoa wapi huyo kipa?
Tutawaona na wenzake humu humu subiri bado mechi haijaishaKipa hamna hapa
😂😂😂 Muiteni na kaka LukaAcha tuwashangilie Morocco ili masisiem yazidi kupanic na ma polisi yao 😁😁
Wapigwe mpk wapoteane 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania tuna tabia ya kudharauliana yaani mtu akicheza nje hata kama anakaa benchi as long as anatoka nje basi tunamshobokea ila yule kipa anazidiwa na makocha wetu wa Tanzania pakubwa sana.Hamna kipa pale
hivi kwanini mechi wameieka saa nne?
Ndiyo kazi yakeKibu wanamchosha sana jamani
Mataputap yanazidiana..mataputapu ya ndani sio sawa na mataputapu ya nje.Hata ukiwatoa hao unamuweka nani