FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Morocco nahisi bado hawajashtukia kuhusu huyu kipa wa CCM, endeleeni kuomba iwe hivyo hivyo maana wakija kushtukia zitakuwa zinapigwa ndefu tu.
 
Kuuliza si ujinga. Hivi huyu golikipa wamemtoa wapi? Mbona naona kama anafanya mchezo mchezo pale langoni?
 
Hamna kipa pale
Watanzania tuna tabia ya kudharauliana yaani mtu akicheza nje hata kama anakaa benchi as long as anatoka nje basi tunamshobokea ila yule kipa anazidiwa na makocha wetu wa Tanzania pakubwa sana.
 
Back
Top Bottom