mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Huyu kipa ni kama yule Ayubu wa Simba!! Hamna kitu hapo!! Shuti toka katikati ya uwanja linamkuta kipa kajisahau na kushangaa mpira anauona ndani ya nyavu!!Hamna kipa hapo
Ni ndugu yake na mama naskiaKuuliza si ujinga. Hivi huyu golikipa wamemtoa wapi? Mbona naona kama...........
Shuti limepigwa mbali hatua za robo heka inamponyokaWatanzania tuna tabia ya kudharauliana yaani mtu akicheza nje hata kama anakaa benchi as long as anatoka nje basi tunamshobokea ila yule kipa anazidiwa na makocha wetu wa Tanzania pakubwa sana.
Naona kamtoa kwa wajomba zake huko!! Si unaona rangi yake ni kama ya mama!!Mama kamtoa wapi huyo kipa?
Wanasemaga too much is harmful, ndivyo ilivyo kwa ushiriki wa mama ktk michezo.
Mwanzoni ilikuwa nzuri, kwa kuonekana mama anapenda michezo na anatoa support.
Ila sasa hivi limekaa kisiasa zaidi, halivutii tena!
Huwezi kumtathmini kipa kwa goli Moja tena la kushtukiza. Kipa yoyote hufungwa kwa magoli kama hayo , maana akili ya kipa huwa anatarajia shbulizi lisogee goliniHuyu kipa ni kama yule Ayubu wa Simba!! Hamna kitu hapo!! Shuti toka katikati ya uwanja linamkuta kipa kajisahau na kushangaa mpira anauona ndani ya nyavu!!
Unaweza kukuta mlango umefungwa kumbe kitasa hakijafungwa na ufunguo wala komeo haipo!! ukisema ngoja nijaribu kuufungua unashangaa unafunguka vizurti tu!! Ndivyo alivyojaribu yule mfungaji wa morocco toka katikati ya uwanja!! HAMNA KIPA HAPO!!
πππUkiataajabu ya Andre onana bas bado hujaona ya kipa wetu wa Tanzania
Amrabat leo hana kiwango cha kutisha, labda kama unazungumzia jina.Mnawaonea tu wachezaji [emoji2][emoji2][emoji2] ivi yani mnataka imid mau acheze na Amrabat katikat alafu ang'ae [emoji2][emoji2] achen utan basi...yan apa stars wanacheza na team yenye quality prayers waliwatoa ad Portugal World Cup... ebu tuwen serious basi
Mi naona wamecheza tu vizuri siyo kama ile mechi ya Niger, ila Morocco ni wazuri aise mtu akipata tu mpira unakuta karibia wote wameshatafuta nafasi na wapo wenyeweMnapenda kulalamika kama watoto wa kambo.mbona stars wapo powa tu first half hii
Ni kweli stars wanacheza vizuri japo Morocco wapo vizuri zaidiMi naona wamecheza tu vizuri siyo kama ile mechi ya Niger, ila Morocco ni wazuri aise mtu akipata tu mpira unakuta karibia wote wameshatafuta nafasi na wapo wenyewe
Amrabat yupi mbona kapuganga leoMnawaonea tu wachezaji [emoji2][emoji2][emoji2] ivi yani mnataka imid mau acheze na Amrabat katikat alafu ang'ae [emoji2][emoji2] achen utan basi...yan apa stars wanacheza na team yenye quality prayers waliwatoa ad Portugal World Cup... ebu tuwen serious basi