FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
IMG_8769.jpeg
 
Inabidi TFF iwekwe kanuni!! Si kila mchezaji anayecheza nje anafaa kuchezea Taifa Stars, Itazamwe pia ligi anayochezea na daraja la timu anayochezea!! Haya mambon ya kutuletea Kawawa wa kichina hayakubaliki!!
Ata mimi kesho nki sajiriwa Ulaya jua tayari na no timu ya taifa[emoji28][emoji28]bado tuna ka ushamba
 
Nimeangalia commentts JF watu wanafuarahia na kuiita team ya CCM

Nikachungulia na page ya Millard Ayo sijaona comment ya kuiita Stars CCM ila tu watu hawakutegemea stars kutoboa kwa waarabu

Itoshe kusema raia wa JF wana mtazamo tofauti na majority ya raia wengine

Wewe nawe unashida. Kuna tofauti ya Milard Ayo na JF. JF inaficha identity ya mtu ndio maana wapo real, kule Milard identity ya watu ipo wazi hivyo waoga ni wengi.

Usishangae asilimia kubwa uliowaona kwa Milard ndio Hawa wa JF wanaoiita Taifa Stars CCM Stars.
 
Nimeangalia commentts JF watu wanafuarahia na kuiita team ya CCM

Nikachungulia na page ya Millard Ayo sijaona comment ya kuiita Stars CCM ila tu watu hawakutegemea stars kutoboa kwa waarabu

Itoshe kusema raia wa JF wana mtazamo tofauti na majority ya raia wengine
Page kibao tu raia wamesema si lazima huyo ayo
 
Back
Top Bottom