MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nina furaha kubwa jinsi tulivyotanguliwa Kufungwa na Morocco.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ni engine ya trekta analima popote sema asiumie tuKibu, atachoka sana.
Asec Mimosa wana bahati sana
Vipi huko mechi ya cc vs Morocco mkuu?Kwakweli liwapate lolote tu.
Ahimidiwe Aliye juu🤣🤣🤣GOOOOOAL CCM WANAJIFUNGA
Ata mimi kesho nki sajiriwa Ulaya jua tayari na no timu ya taifa[emoji28][emoji28]bado tuna ka ushambaInabidi TFF iwekwe kanuni!! Si kila mchezaji anayecheza nje anafaa kuchezea Taifa Stars, Itazamwe pia ligi anayochezea na daraja la timu anayochezea!! Haya mambon ya kutuletea Kawawa wa kichina hayakubaliki!!
Nimeangalia commentts JF watu wanafuarahia na kuiita team ya CCM
Nikachungulia na page ya Millard Ayo sijaona comment ya kuiita Stars CCM ila tu watu hawakutegemea stars kutoboa kwa waarabu
Itoshe kusema raia wa JF wana mtazamo tofauti na majority ya raia wengine
Manura kakimbia lawama anacheka kimoyomoyo huko njee maana angekua kashapigwa 7 zile 5 ukijumlisha hizo 2 ni 7Hivi jamani mna uhakika huyu alokaa golini kwa Stars Ni kipa kweli
Hamtatoboa lamweCCM piga Wamanga koko 😂😂
Page kibao tu raia wamesema si lazima huyo ayoNimeangalia commentts JF watu wanafuarahia na kuiita team ya CCM
Nikachungulia na page ya Millard Ayo sijaona comment ya kuiita Stars CCM ila tu watu hawakutegemea stars kutoboa kwa waarabu
Itoshe kusema raia wa JF wana mtazamo tofauti na majority ya raia wengine