Haya Kibu anatoka sasa akapumzike
 
Inabidi TFF iwekwe kanuni!! Si kila mchezaji anayecheza nje anafaa kuchezea Taifa Stars, Itazamwe pia ligi anayochezea na daraja la timu anayochezea!! Haya mambon ya kutuletea Kawawa wa kichina hayakubaliki!!
Ata mimi kesho nki sajiriwa Ulaya jua tayari na no timu ya taifa[emoji28][emoji28]bado tuna ka ushamba
 

Wewe nawe unashida. Kuna tofauti ya Milard Ayo na JF. JF inaficha identity ya mtu ndio maana wapo real, kule Milard identity ya watu ipo wazi hivyo waoga ni wengi.

Usishangae asilimia kubwa uliowaona kwa Milard ndio Hawa wa JF wanaoiita Taifa Stars CCM Stars.
 
Page kibao tu raia wamesema si lazima huyo ayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…