Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Watuletee na akina Kambona sio Kawawa tuInabidi TFF iwekwe kanuni!! Si kila mchezaji anayecheza nje anafaa kuchezea Taifa Stars, Itazamwe pia ligi anayochezea na daraja la timu anayochezea!! Haya mambon ya kutuletea Kawawa wa kichina hayakubaliki!!
Wamweke Manura Simba ifungwe, 🤪Wamtoe Mnoga wamwingize Mwigulu Nchemba wasikate tamaa hii mechi tunashinda
Lile goli kipa yeyote anafungwa. Mpira umedunda ule huna budi kumsifia mpigajiInabidi TFF iwekwe kanuni!! Si kila mchezaji anayecheza nje anafaa kuchezea Taifa Stars, Itazamwe pia ligi anayochezea na daraja la timu anayochezea!! Haya mambon ya kutuletea Kawawa wa kichina hayakubaliki!!
Weee? 🤪Wapigwe mpk wapoteane 🤣🤣🤣
Ana gundu na khamsa tutaaibika,Tanzania hii hakuna kipa aliyefungwa tano nyingi mechi za kimataifa kama Manula,As Vita 5, Al Ahly 5, juzi 5Wamweke Manura Simba ifungwe, [emoji2957]
Chuki itakumaliza kijana. Unatamani wangeitwa kina Kennedy?Sasa Kipa kafanya save ya kuokoa bao la 3
Beki za Yanga zilikuwa zimetoa macho tu hazielewi hata mpira uko wapi
Heshimu daraja la Morocco mkuu. Tupo kwenye uzani tofauti sana sana. Hapo tulipo mpaka dakika hizi tumejitahidi sana.Taifa stars ni viazi