FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Inabidi TFF iwekwe kanuni!! Si kila mchezaji anayecheza nje anafaa kuchezea Taifa Stars, Itazamwe pia ligi anayochezea na daraja la timu anayochezea!! Haya mambon ya kutuletea Kawawa wa kichina hayakubaliki!!
Lile goli kipa yeyote anafungwa. Mpira umedunda ule huna budi kumsifia mpigaji
 
Sasa Kipa kafanya save ya kuokoa bao la 3

Beki za Yanga zilikuwa zimetoa macho tu hazielewi hata mpira uko wapi
 
Niliyasikilza yale maelezo kidogo tu kwa sababu I am tired of these conspiracy theories.( Having read so many of them).

Lakini ndio alivyosema,na sijaona yale maneno yamekanushwa even though the video went viral.

Nitaulizwa sasa what am I talking about.

Ni kwamba Waisraeli walitaka kushambuliwa,wakafadhili mashambulizi ya Hamas,zile parachute landings and everything,ili wapate kisingizio Cha kuishambulia. The idea was to make the Arab nations to nibble on the bait.
 
Stars ikishinda ccm wanadandia na kuanza kujipendekeza eti mafanikio hayo ni yao, mara ooh ni ya Samia.

Hakuna uwekezaji wala maandalizi yoyote yaliyofanywa na hao ccm wala huyo Samia.

Sasa muda huu Morocco anatoa kichapo kwa taifa stars. Tusiogope kusema kuwa ccm inapigwa na Samia anachapwa.
 
Back
Top Bottom