Mabeki wa Yanga leo hawaelewi kinachoendelea uwanjani kila mtu anafanya yake basi tafrani tupu
 
Mamake umecheki tiktaka hilo lililopigwa na Morroco kuokoa mpira wa freekick?

Sasa hiyo ndio aina ya beki ukiwa nayo unatakiwa kujisifu kuwa unaukuta mzuri.
 
Jama Mbona hivyo ..? teyari mbili..?

Hizo beki za Utopolo Zitauwa Watu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…