Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Naye ni mshabiki😂😂🤣🤣🪑Mbona kama namuona Harmonize uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naye ni mshabiki😂😂🤣🤣🪑Mbona kama namuona Harmonize uwanjani
Sasa Kipa kafanya save ya kuokoa bao la 3
Beki za Yanga zilikuwa zimetoa macho tu hazielewi hata mpira uko wapi
Nape anacheza namba ngapiWamtoe Mnoga wamwingize Mwigulu Nchemba wasikate tamaa hii mechi mbona yetu
Kaenda kutafuta kiki yule nae Andunje...Naye ni mshabiki😂😂🤣🤣🪑
Tulikubaliana ni Team ccmMabeki wa Yanga leo hawaelewi kinachoendelea uwanjani kila mtu anafanya yake basi tafrani tupu
Wampunzishe Kibu, Nape anapamudu pale,litapatikana hata la mkonoNape anacheza namba ngapi
Tumejitahidi kitu gani?Heshimu daraja la Morocco mkuu. Tupo kwenye uzani tofauti sana sana. Hapo tulipo mpaka dakika hizi tumejitahidi sana.
🤣🤣Wampunzishe Kibu, Nape anapamudu pale,litapatikana hata la mkono
Uzalendo wa nini? Yapigwe tu. Tangu tumeanza kuwa wazalendo yamefanya nini cha maana kuuheshimisha uzalendo tulioonyesha? Wasagiwe tuUzalendo unatoweka
Ule ndo mnaita ukuta?Chuki itakumaliza kijana. Unatamani wangeitwa kina Kennedy?