Kosa la kujitakia kabisa , rafu ya makusudi kabisa iliyogharimu timu yake .
Uliona mechi ya World Cup 1998 David Beckham alichofanya wakati England alicheza na Argentina
Nestoroy Irankunda hawezi kabisa kuichezea taifa stars, kwani yule tayari ana uraia wa Australia na ameshachezea timu za vijana za Australia na tayari Australia wananchukulia kama Messi wao.
Na pia yule sio mtanzania, alizaliwa Tanzania tu ila ni raia wa Burundi ukiacha kuwa mu-aussie.
Ligi ya Egypt sio sawa na ya bongo alikadhalika pia Ligi ya Egypt sio sawa na ya Uturuki kiviwango na ubora!!
Mantiki yangu ilikuwa ni kwamba, mataifa ya wenzetu wanaujua mpira, huwezi ukakuta huu upuuzi wa kuita wachezaji kwa kuangalia anacheza wapi/Ligi gani na badala yake mchezaji anaitwa kwenye timu ya taifa kulingana na kiwango/ubora anao kuwa nao kwa wakati huo haijalishi anacheza wapi.
Wewe nawe umeshakuwa wa ovyo, nimelalamika wapi? Nimetoa ushauri. Nilipoona uzi wako kuhusu Baca nikagundua kuwa upo humu JF kwa bahati mbaya ulipaswa kuwa Facebook huko.