FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Hakim Ziyech anaachwa sana azunguke na mpira na ni hatari sana kwasbb ndiye anayesupply mipira ya mwisho inayotengeneza magoli
 
Hawa waarabu ni weupee kocha akifanya sub vizuri tunatoboa
 
Tunasema ....Too much of everything is harmful. Siyo hicho ulichoandika hapo!
si hata kwa yanga ilikuwa hivo walipopata bahati ya kuuona mwezi
kuna yule mlevi flani wa bungeni na mzee wa tozo wanajifanyanya wanaujua sana
mpira..............kumbe hata kupiga danadana nne hawawezi
ccm kila eneo ni maslahi kwao........dp world wachukue hii timu kama bonus ya bandari
 
Huwezi kumtathmini kipa kwa goli Moja tena la kushtukiza. Kipa yoyote hufungwa kwa magoli kama hayo , maana akili ya kipa huwa anatarajia shbulizi lisogee golini
Sijatumia tukio moja tu la goli kuingia kirahisi, lakini movement za kipa hazoneshi kujiamini!!
 
Niko na mzambia anamlalamikia Chama anacheza kama "slow motion". Tunaitazama game ya Niger na Zambia. Zambia ashapasuka 2 half time. Kibonde wa Taifa stars anamkamua mzambia barabara.
Zambia watafanya comeback ya nguvu usishangae wakashinda,hata kwa congo walifanya comeback
 
Mbona wale wajamaa wanaopitaga kufix uwanja sehemu ziliozochimbika leo hawapo?
 
Back
Top Bottom