FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Dah....... Ndo hizi hizi beki zitatumika kwa CR Beleouzidad kesho Kutwa.?

Huzuni imeanza kuninyemelea..!
 
Mchezaji wa CCM stars Hana nidhamu huyu. Nyekundu inamfaa sana
 
Kuna watu mlikaa mkaamini Stars anashinda hii mechi?

Mnachekesha ,hata kama ni uzalendo Morocco is far better than Stars.

Hapa tunacheza,na timu iliyofika nusu fainali World Cup sio mchezo mchezo.
 
Huyu ndio Ibrahim Baka bila Hirizi za kishirikina sasa..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shida CCM wamezoea dhulumati, wakadhani mambo ya goli la mkono yapo mpaka huku. Morocco uwa hao CCM wawe na adabu.
 
Ziyech anarusha mateke huku uwanjani
 
Wachambuzi na watangazaji wanafki sana,wamepewa mpuga wamehamisha sana ooh tunashinda tujaze uwanja,utaona kesho watakavyowaruka
 
Back
Top Bottom