Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mmechangia lakini pesa ya uwezeshaji wa ushindi tunaoutaka?
Umeandika kitaalamUshindi hauchagizwi na zawadi za kiasiasa au kampeni za wanasiasa bali maandalizi mazuri ya mwili na akili, nidhamu wakati wote wa mchezo, kufuata maelekezo ya mwalimu kwa usahihi...
Kama wao Morocco wapo 11 basi na Stars wapo 11
Kuchangia timu ya taifa sio jukumu la mwananchi, zipo mamlaka husika kwa ajiri masuala yote yanayohusu taifa starz.Mmechangia lakini pesa ya uwezeshaji wa ushindi tunaoutaka?
Bro unafikiri tutatoboa?Ushindi hauchagizwi na zawadi za kiasiasa au kampeni za wanasiasa bali maandalizi mazuri ya mwili na akili, nidhamu wakati wote wa mchezo, kufuata maelekezo ya mwalimu kwa usahihi...
Kama wao Morocco wapo 11 basi na Stars wapo 11
Means tutake tutapigwa tusitake tutapigwa.FT MOROOCO WIN
3-1/2-1/3-0
NIKOKWAMANGIIPALEE
Kabisaaa idadi tu ya magoli mkuu sijajua itakuwa kubwa ama watatupa.medium rangeMeans tutake tutapigwa tusitake tutapigwa.
Tizama onlineKwakuwa Tanesco wamekata umeme huku, basi kila la heri kwa wanangu wa Morocco