FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

The Special One is back. Heshima imerudi sasa. Nizidi points ila nimeshakubonda. Safii sana hii
 
Tumewashona pale pale kwao. My observations:

1. Timu tunayo. Tatizo ni Vini.
2. Kitu cha msingi Camavinga amewahi
kufanya in a Madrid shirt ni hii assist ya leo
3. Tchou was at his prime today. Kacheza chini ya kiwango sana miaka ya Karibuni.
4. Chelsea waongezewe hela ya Cucurella
5. Yamal anapotea kabisa big games.

iHala Madrid
 
Oya dogo mimi hunitoi Barca lamine Yamal. Salah angekuwa real madrid ningekuwa na wakati mgumu sana. Namuombea lamine Yamal abebe baloon na salah mwaka kesho. Ikitokea hivyo sitamdai tena mungu.

Barca 2 Madrid 0

hydroxo
Baloon atabeba tu usijali

Aandae tu pumzi ya kupuliza.
 
But...but I have a World Cup
 
The only Ballon D'or Lamine Yamal is winning tomorrow
 
Ngoja nikamuangalie Creeze Favor
 
Hayo mengine yote nakuunga mkono, ila hiyo namba 1 yako ielezee kitaalam tuone hilo tatizo la Vini ni lipi.

Vini akiwa kwenye form na asivyo na tabia ya uchoyo wa pasi game ya leo ingekuwa simple tu.

Mnamchukia bure tu yule dogo kwa sababu watu wengi mna asili ya roho mbaya. Hiyo timu inavyoruhusu mabao kirahisi kwa uzembe wa mamido na mabeki yote hayo huwa ni makosa ya Vini? Vini kawezesha ushindi kwenye game ngapi zikiwemo el classico hadi leo ionekane yeye pekee ndo tatizo? Game ijayo tukichapwa bila Vini mtamsonta vidole Vini?
 
Wacha nipumzike tutasomana baadaye
 

Tumchukie Vini kwa lipi wakati katupa ndoo kadhaa kwa kuamua games yeye mwenyewe.

Ukweli ni kwamba kiwango chake kimeshuka sana. Anafanya makosa mengi sana kwa decisions za hovyo, speed imepungua na Hana confidence.

Kikubwa he doesn't track back. Hasaidii defense kabisa. Hii game tungepoteza first half tu kama vini angeanza.

It's no coincidence Madrid imeanza kuperform baada ya Vini kula umeme. Mimi nimeangalia hii El classico sababu nilijua Vini hayupo so we had a chance. Kama angekuwepo nisingepoteza muda kuangalia
 
Kipindi hicho anaamua games alikuwa anatrack back kusaidia defence? Mbona matokeo yalikuwa yanapatikana?

Ni kweli kiwango cha Vini kimeshuka, lakini winning streak ya gemu mbili tu sidhani kama inatosha ku conclude kuwa tatizo limekuwa solved. Siku ikitokea tukakutana na timu kama PSG, Arsenal au Bayern ndo mtajua kuwa tatizo lililopo ni zaidi ya Vini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…