FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Kwanini uni'quote mara mbili sasa?

Anyways....Nakuelewa

Haya Ingekuwa mimi Uto inawezekana ningekuwa na machungu kuliko haya....

Enjoy mpira bhana
Kumbe wewe ni mnyama ndo maana nlikua naona huyu dada mbona ana IQ kubwaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahsante Gucci....
Mnyama halisi kabisa.....
Tupo pamoja endelea kuwapa elimu hawa chura humu jukwaani kwaoπŸ˜‚

Wakumbushe hela ya msimu mzima ligi kuu tumeichukua mechi mbili tu na al-ahlyπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Tupo pamoja endelea kuwapa elimu hawa chura humu jukwaani kwao[emoji23]

Wakumbushe hela ya msimu mzima ligi kuu tumeichukua mechi mbili tu na al-ahly[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa hadi wasema Mkuu....
 
Ndio kombe lenu hilo jipya?
Kwani wewe una kombe gani msimu huu
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ushasahau tulichukua ngao mbele yenu
Sisi baada ya ngao tu baasi hatutaki tena kombe focus ipo nusu fainali CL😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…