FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Kwa ubora huu wa kikosi cha yanga, timu nyingi sana za NPL mtazilaumu sana kila zitakapokuwa zinacheza na hiki kikosi.

Wakianza Aziz KI, Max, Pacome na Mudathir huko mbele huwezi ukawa salama hata kidogo, wanashambulia Kwa hasira kama nyuki waliochokozwa
 
Hilo sio la kuuliza hata mwenyekiti Mangungu katika kampeni zake aliahidi mambo mawili kumfunga Yanga na la pili kumleta Manzoki. Na vyote vikatekelezwa kisha akawaambia wana Simba hawamdai katimiza malengo ya msimu.
Bila shaka Bwana Hersi naye hamumdai maana malengo yenu ya kuingia makundi klabu bingwa msimu huu yameshatimia
 
Back
Top Bottom